1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaidhinisha ndoa za jinsia moja

Bruce Amani
30 Juni 2017

Bunge la Ujerumani limepiga kura kuhalalisha ndoa za jinsia moja, Jeshi la Iraq limeshambulia ngome ya mwisho ya kundi la IS mjini Mosul na Ujerumani kupambana na Chile katika fainali ya Kombe la Mabara Jumapili nchini Urusi

https://p.dw.com/p/2fhw5