1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukweli na uzushi nyuma ya kashfa dhidi ya Uislamu

25 Septemba 2012

Filamu ya kuukashifu Uislamu iliyotengenezwa Marekani, vikatuni vilivyochorwa na gazeti la Kifaransa na matukio mengine kadhaa yanayowachokoza waumini wa dini hiyo nao wakachokozeka, ni sehemu tu ya picha kubwa.

https://p.dw.com/p/16DfQ
Maandamano dhidi ya Marekani nchini Pakistan.
Maandamano dhidi ya Marekani nchini Pakistan.Picha: dapd

Othman Miraji anaongoza majadiliano kuhusiana na mada tete ya filamu inayoukashifu Uislamu, matokeo yake na mustakabali wa jamii ya Kiislamu ulimwenguni. Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Othmani Miraji
Mhariri: Mohammed Abdulrahman