1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulimwengu ungekuaje bila ya intaneti

3 Januari 2018

Mtandao wa intaneti umekuwa sehemu kubwa ya maisha ya binaadamu. Siku hizi karibu kila kitu kinawezekana katika mtandao huo. Na kila binaadamu akiendelea kuutegemea mtandao wa intaneti ndiyo inazidi kuwa vigumu kuukosa. Lakini umewahi kujiuliza ulimwengu ungekuaje bila ya intaneti? Ungana na Jacob Safari kwa zaidi katika kipindi cha Vijana Mubashara 77%.

https://p.dw.com/p/2qGVG