1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Ulaya watangaza muongozo kuhusu Brexit

Daniel Gakuba
31 Machi 2017

Umoja wa Ulaya watarajiwa kutangaza mkakati wake katika mazungumzo kuhusu Brexit, Chama tawala Afrika Kusini, ANC chagawika baada ya Rais Jacob Zuma kumfuta kazi Waziri wa Fedha Pravin Gordhan, na Rais wa Korea Kusini aswekwa gerezani kuhusiana na ufisadi.

https://p.dw.com/p/2aTN6