1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unafahamu hata wanaume pia wanaweza kupata saratni ya matiti?

Amina Mjahid
19 Oktoba 2020

Daktari bingwa Crispin Kahesa kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road nchini Tanzania anakupa elimu kuhusu saratani ya matiti, jinsi ya kuigundua na hatua za kuchukua. Jifunze na kisha umfahamishe mwenzio ili kujikinga? Una swali la ziada ? Tuandikie. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3k95N