1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unalifahamu tamasha maarufu la Oktoberfest?

Saumu Mwasimba
3 Oktoba 2017

Tamasha la Oktoberfest au tamasha la kunywa bia ni mojawapo ya tamasha kubwa duniani ambalo hufanyika kila mwaka mjini Munich hapa Ujerumani ambalo huwavutia mamia ya watu duniani. Makala ya Utamaduni na Sanaa leo inalitazama tamasha hili kwa kina.

https://p.dw.com/p/2l9Ad