1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unapokuwa umesafiri na uko ugenini ni chakula gani unachokitamani sana?

13 Agosti 2018

Watu wengi wamezoea vyakula vya kule wanakotoka kiasi cha kwamba wanapokuwa ugenini, watafanya kila hila ili wapate chakula cha kule wanakotoka wao. Katika Vijana Mubashara leo tunakuuliza je, ni chakula gani unachokitamani sana unapokuwa umesafiri na uko sehemu ngeni?

https://p.dw.com/p/334JN