1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upigaji kura Zanzibar

25 Oktoba 2015

Uchaguzi mkuu wa tano nchini Tanzania unaofanyika leo hii unaripotiwa kuendele kwa usalama. Mwandishi wetu Salma Said ana zaidi akifuatilia upigaji kura wa huko visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/1Gtwa
Tansania Wahlen
Picha: Reuters/E. Herman

Upigaji kura visiwani Zanzibar