1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani DRC baada ya kifo cha Tshisekedi

3 Februari 2017

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiendelea na maombolezo ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Etienne Tshisekedi, kunatarajiwa kuwepo na mtikisiko kwa upande wa upinzani.

https://p.dw.com/p/2Wvj6
Wananchi wa DRC wakiomboleza kifo cha Etienne Tshisekedi
Picha: Reuters/R. Carrubba

J3 03.02 DRC after Tshisekedi - MP3-Stereo

Hii ni baada ya kuondoka kwa kinara huyo aliyekuwa pia msimamizi wa makubaliano ya mgogoro wa kisiasa kati ya upinzani na serikali. DW imezungumza na msemaji wa chama cha UDPS, Valentine Mubake, kuhusiana na mustakabali wa chama chao baada ya kifo cha Tshisekedi.