1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Kenya wasema bila tume mpya hakuna uchaguzi

Mohammed Khelef
4 Septemba 2017

Upinzani unasema hauna imani na tume ya uchaguzi iliyopo, Korea Kaskazini yarusha kombora jengine, Kansela Merkel achuwana na Martin Schulz kwenye mdahalo na viongozi wakuu wa BRICS wakutana nchini China. Hayo na mengine ni kwenye Papo kwa Papo leo hii, Septemba 4.

https://p.dw.com/p/2jKPM