1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

3 Januari 2017

Upinzani na serikali DRC wakutana leo kujadili njia za kutekeleza makubaliano ya amani yaliyofikiwa. Polisi wa Uturuki wachapisha picha ya mtuhumiwa wa shambulio la Mwaka Mpya mjini Istanbul Na, watu 60 wauawa katika gereza moja nchini Brazil kufuatia ghasia kubwa baina ya makundi hasimu.

https://p.dw.com/p/2VCjy