1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Tanzania waja na mbinu mpya kumkabili Magufuli

Mohammed Khelef
18 Desemba 2018

Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimekutana visiwani Zanzibar na kutoa tamko zito la ushirikiano kulinda demokrasia na haki za binaadamu na pia kuutangaza mwaka 2019 kuwa mwaka wa kudai haki.

https://p.dw.com/p/3AKBv