1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Tanzania walalamikia zoezi la Uchaguzi

25 Oktoba 2015

Chama cha kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA chalalamikia zoezi la uchaguzi mkuu nchini humo, baada ya kujitokeza mambo kadhaa likiwemo la kuchelewesha kwa karatasi za kupigia kura katika baadhi ya maeneo.

https://p.dw.com/p/1GtxE
Tansania Wahlen
Wapiga kura wakiwa katika mstari mrefu, wilaya ya kinondoni jijini Dar es SalaamPicha: Reuters/E. Herman

[No title]