1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani una nafasi gani katika uchaguzi wa Oktoba Tanzania?

6 Agosti 2020

Vyama vya upinzani Tanzania vya ACT-Wazalendo na Chadema tayari vimewaidhinisha wagombea wao wa Urais. Bernard Membe ataipeperusha bendera ya chama hicho huku Tundu Lissu akichaguliwa kuiwakilisha Chadema katika uchaguzi mkuu wa Tanzania Oktoba 28. Je, upinzani utakuwa na nafasi gani katika uchaguzi mkuu huo? Babu Abdalla amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa Tanzania Marcel Hamduni.

https://p.dw.com/p/3gVnm