1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushindi kwa wahafidhina Morocco

9 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBRI

RABAT:

Chama cha kihafidhina nchini Morocco kimeshinda uchaguzi wa Bunge kwa muujibu wa matokeo yaliotangazwa leo na wwzara wa ndani.Chama hicho kimejipatia viti 52.hii ni viti 5 zaidi kuliko chama cha Haki na maendeleo cha kiislamu ambacho wengi wakitazamia kingenyakua sehemu kubwa ya viti.Chama cha kijamaa kilijipatia viti 36 tu kutoka viti vyake 50 hapo kabla.