1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usomaji wa vitabu vya 'Mastaa' huwashawishi vijana vipi?

Bruce Alakonya29 Novemba 2018

Watu ambao ni mashuhuri ukipenda mastaa katika nyanja mbalimbali mfano, wacheza kandanda, wanamuziki, waigizaji hufanya juhudi mbalimbali na kuzisambaza kwa mashabiki wao kwa njia mbalimbali mfano mitandaoni. Makala ya Vijana Mchamchaka inaangazia juhudi za ‘mastaa’ kutunga vitabu hususan kuwahusu na kuzichapisha mitandaoni. Je mashabiki wao hushawishiwa kuvisoma? Mtayarishaji ni Bruce Amani.

https://p.dw.com/p/396SM