1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utandawazi – Kipindi 2 – Biashara ya Haki

25 Mei 2011

Kipindi hiki kinahusu kilimo cha kisasa na biashara ya haki. Burkina Faso ni nchi inayoongoza katika uzalishaji wa pamba barani Afrika. Huko Goumsin, chama kimoja cha ushirika kimeanza kutumia njia za kiasili.

https://p.dw.com/p/RHfg