1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uwezeshaji wananchi kupitia dansi Afrika Kusini

14 Novemba 2016

Baada ya miaka sita ya mafanikio nchini Uingereza, mtaalamu huyu wa dansi, mkufunzi wa dansi na mjasiliamali alirejea nchini mwake Afrika Kusini. Yeye na mkewe walirudi na dhamira moja ya kutoa fursa kwa vijana wenye vipaji vya kudansi.

https://p.dw.com/p/2Sfka