Uzazi wa Mpango –Kipindi 6 – Kuchagua majukumu16.03.201116 Machi 2011Katika kipindi hiki cha sita, Eric anaendeleza mpango wa kumfahamu zaidi Desirée, ambaye ni rafiki wa dada yake. Desirée anakaribia kupata habari asizotarajia.https://p.dw.com/p/QokFMatangazo