1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

VATICAN.Baba mtakatifu Benedict wa 16 atazuru Uturuki Novemba 28

16 Oktoba 2006
https://p.dw.com/p/CD2G

Vatican imesema, baba mtakatifu Benedickt wa 16 atafanya ziara nchini Uturuki mwishoni mwa mwezi novemba.

Papa Benedickt wa 16 ataanza ziara yake tarehe 28 novemba kwa kuitemebelea miji ya Ankara,Istanbul, Ephesus na Izmir sehemu iliyokaliwa na jamii ya kale ya kikristo.

Waziri wa mambo ya nje wa Vatican kadinali Tarcisio Bertone amesema ziara ya baba mtakatifu itatoa fursa ya mdahalo.