1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

VERACRUZ:Kimgunga Dean chaifikia Mexico lakini kimepungua nguvu

23 Agosti 2007
https://p.dw.com/p/CBWo

Kimbunga Dean kimeifikia Mexiko kwa mara ya pili kikiwa na mwendo wa kilometa 160 kwa saa katika jimbo la Veracruz mashariki mwa mexico.

Kimbunga hicho kiliukumba mji wa Tecolutla baada ya kupungua nguvu kwenye peninsula ya Mexico ambapo kiliyakumbuka majukwaa ya kuzalishia mafuta na gesi. Lakini dhoruba hiyo haikuleta madhara makubwa kama jinsi ilivyohofiwa hapo awali.