1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wabunifu Tanzania

5 Machi 2018

Kutana na vijana wahitimu wa Chuo Kikuu waliojiunga pamoja na kutengeneza vifaa vya somo la fizikia kwa ajili ya karakana za shule za sayansi. Vijana hawa kwa sasa wanatafuta nafasi ya kutangaza vifaa vyao kwenye shule za sekondari nchini Tanzania. Tazama ubunifu wa vijana hawa katika video inayosimuliwa na mwandishi wa DW Dotto Bulendu.

https://p.dw.com/p/2tiUe