1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wajadili uwokaji keki Mtwara

salma mkalibala27 Julai 2020

Ungana na Salma Mkalibala akizungumza na vijana wa Mtwara ambao wameamua kujihusisha na utengenezaji na uuzaji wa keki. Wasikilize vijana hao wakieleza kilichowahamasisha kujiunga na biashara hiyo na jinsi lake lilivyo nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/3fxQC