1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

VILNIUS: Waziri Steinmeier ziarani Lithuania

13 Julai 2007
https://p.dw.com/p/CBj7

Waziri wa masuala ya nje wa Ujerumani,Frank-Walter Steinmeier,amewasili Vilnius,mji mkuu wa Lithuania.Hapo awali,Steinmeier alizizuru Estonia na Latvia pia akiwa katika ziara yake ya kwanza katika nchi za Baltik.