1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa dini Tanzania watoa tamko la pamoja kupambana na Ukimwi

23 Agosti 2007

Viongozi wa dini za Kiislamu na Kikristo nchini Tanzania wamekutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam kujadili jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa Ukimwi.

https://p.dw.com/p/CHjc
Tangazo la utumiaji wa Kondom
Tangazo la utumiaji wa KondomPicha: dpa - Report

Viongozi hao walitoa tamko kwamba kwa kuwa ugonjwa wa Ukimwi haubagui dini,jinsia wala kabila wamelazimika kukaa pamoja kubuni mikakati ya kukabiliana nao kwa sababu unaathiri jamii nzima.

Mwandishi wetu Hawra Shamte anaripoti zaidi kutoka Dar es Salaam.