1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa kidini Mombasa wapinga kuhusu reli ya SGR

Faiz Musa Abdallah14 Agosti 2019

Viongozi wa dini ya kiisilamu kaunti ya Mombasa, Kenya wanapinga mipango ya serikali ya kutaka makasha ya mizigo inayoingia katika bandari ya Mombasa kusafiriswha kupitia reli ya kisasa ifahamikayo kama SGR kupelekwa Nairobi.

https://p.dw.com/p/3Ntnf