1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa kisiasa Kenya wasubiri uamuzi wa mahakama

19 Machi 2013

Nchini Kenya baada ya uchaguzi na kutangazwa matokeo ya urais yanayozusha utata kufuatia malalamiko yaliyopelekwa mbele ya mahakama kuu na chama cha Cord unaoongozwa na Odinga,wananchi wanasubiri uamuzi wa mahakama.

https://p.dw.com/p/1800k
Raila Odinga wa chama cha Cord asubiri uamuzi wa Mahakama
Raila Odinga wa chama cha Cord asubiri uamuzi wa MahakamaPicha: Reuters

Lakini wakati huohuo viongozi wa kisiasa wanaonekana kuendeleza kampeni za kujipigia debe.Kila upande katika vyama vikuu viwili yaani muungano wa Jubilee na Cord unadai ni washindi wa uchaguzi huo.Je kampeni hizi zitaifikisha wapi Kenya?Hilo ni miongoni mwa yale Saumu Mwasimba aliyomuuliza makamu wa rais wa zamani wa nchi hiyo Moody Awori. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi:Saumu Yusuf

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman