1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa nchi za Kiislamu wakutana Istanbul

Sylvia Mwehozi
13 Desemba 2017

Viongozi wan chi za Kiislamu wanakutana mjini Istanbul katika mkutano wa dharura kujadili uamuzi wa Trump. Mgombea wa Democratic nchini Marekani amshinda Mrepublican jimbo la Alabama. Na Mamlaka za Burundi zamshikilia mwanaharakati kwa Zaidi ya siku 20. Papo kwa Papo 13.12.2017.

https://p.dw.com/p/2pIgM