1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa Uamsho wafikishwa Mahakamani Zanzibar

22 Oktoba 2012

Kufuatia vurugu za siku nne mfululizo huko Zanzibar, hii leo Sheikh Farid pamoja na viongozi wenzake wanne wa kundi la uamsho wamefikishwa mahakamani kujibu mashataka ya kusababisha vurugu.

https://p.dw.com/p/16UIa
Baadhi ya viongozi wa Uamsho wafikishwa mahakamani
Baadhi ya viongozi wa Uamsho wafikishwa mahakamaniPicha: DW

Ili kufahamu yaliyojiri Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wetu wa Zanzibar, Salma Said, ambaye yuko mahakamani hapo akifuatilia kwa ukaribu kesi hiyo.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

.

Mwandishi: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman