1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wajaribu kutuliza hali DRC

Elizabeth Shoo10 Februari 2016

Gavana wa mkoa wa Kivu ya Kaskazini, Julien Paluku, ametembelea eneo la kusini mwa wilaya ya Lubero kumaliza mzozo baina ya makabila ya Nande na Hutu uliosababisha vifo vya watu kadhaa.

https://p.dw.com/p/1HsX6
Wakazi wa Congo ya Mashariki. Photo: KUDRA MALIRO/AFP/Getty Images) © Getty
Picha: Getty Images/AFP/K. Maliro

[No title]