1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi watano wa CHADEMA wafika polisi

Sudi Mnette
20 Februari 2018

Viongozi watano wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania waitikia wito wa polisi nchini humo wakati afisa wa chama hicho aliuwawa akiagwa jijini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/2t18S