1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vipindi vya Noa Bongo! Jenga Maisha yako vinatayarishwa

30 Septemba 2008

Ujumbe wa idhaa ya Kiswahili ya radio Deutsche Welle uko mjini Dar Es Salaam hivi sasa , ambapo wanafanya kazi ya kurekodi vipindi vya tamthilia katika studio za radio Tumaini.

https://p.dw.com/p/FRcU

Ujumbe huo ni pamoja na mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya radio Deutsche Welle Andrea Schmidt na mtangazaji mwenzetu Josephat Charo.
Sekione Kitojo alizungumza na Josephat Charo hivi punde na kutaka kujua kazi inavyoendelea huko mjini Dar Es Salaam.