1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita dhidi ya utamaduni wa kuwakeketa wasichana katika jamii ya Wamaasai

John Juma
6 Oktoba 2020

Ukeketaji umesalia kuwa kati ya tamaduni zinazowasababishia wasichana wengi changamoto za kiafya ikiwemo kifo. Ajabu ni kwamba katika baadhi ya jamii, utamaduni huo ungali unaenziwa. Mshindi wa zamani wa urembo nchini Tanzania Diana Edward Lukumai anatumia umaarufu wake kuukomesha utamaduni huo.

https://p.dw.com/p/3ji1x