1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya:Sheria mpya.

Kitojo, Sekione19 Machi 2008

Magazeti ya Kenya yasifu sheria mpya

https://p.dw.com/p/DR3C
Watu kadha wakijisalimisha maisha yao kutokana na machafuko nchini Kenya katika mji wa Naivasha, machafuko yaliyosababishwa na kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika Desemba mwaka jana.Picha: AP



Magazeti  ya  Kenya  leo  yamekaribisha  hatua  ya kuanzishwa  sheria  mpya  zitakazofikisha  kikomo mzozo  wa  kisiasa, lakini  yamelionya  bunge   kuwa watarajie  hali  ngumu  hapo  baadaye  katika utekelezaji  wa  makubaliano  ya  kugawana madaraka   pamoja  na  kuifanyia  mageuzi  katiba ya  nchi  hiyo.