1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papo kwa Papo 17.06.2016

17 Juni 2016

Wabunge 8 Kenya wafunguliwa mashtaka ya uchochezi. Uingereza yaomboleza kifo cha mbunge Jo Cox aliyeuawa. Rais Obama awafariji waathiriwa wa shambulio la Orlando na katika dimba la Ubingwa wa Ulaya, England yaicharaza Wales mabao 2-0. Papo kwa Papo 17.06.2016.

https://p.dw.com/p/1J8to