1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachekeshaji wanaowaiga Trump na Kim

Saumu Mwasimba
11 Juni 2018

Wachekeshaji wanaowaiga rais Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim nao wajipanga kukutana kivyao Singapore. Wajitapa kwa kudai ndio chachu ya viongozi hao wawili kupata fikra ya kukutana kuutatua mgogoro wa Nyuklia wa Korea Kaskazini.

https://p.dw.com/p/2zIFL