1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wacheza densi kufadhili masomo ya vijana

2 Novemba 2016

Nchini Guinea Bissau kundi la Nietos de Gama linacheza densi za ngoma za asili kufadhili miradi ya kusoma kwa vijana wa kundi hilo wengi wakiwa watoto yatima na walioishi mitaani

https://p.dw.com/p/2S27K