1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wacomoro wajitokeza kupiga kura ya maoni kubadilisha katiba

Josephat Charo Nyiro/MM T30 Julai 2018

Wapiga kura visiwani Comoro wamejitokeza leo kupigia kura mapendekezo ya mageuzi ya katiba katika kura ya maoni ambayo yumkini ikabadili katiba ya nchi hiyo na kumruhusu rais wa sasa Azali Assoumani kuendelea kutawala hata baada ya mwaka 2021. Josephat Charo amezungumza na mwandishi wetu wa habari aliyeko mjini Moroni, Abubakar Omar, ambaye kwanza alikuwa na maelezo haya.

https://p.dw.com/p/32KgJ