1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafahamu "vloggers" kutoka Tanzania

Elizabeth Shoo27 Oktoba 2015

Blogu za video zinaweza kuzungumzia mada moja kama vile urembo ama zinaweza kuwa na mada tofauti. Vijana Mchaka Mchaka imekutana na "vloggers" kufahamu faida na changamoto za wanachokifanya.

https://p.dw.com/p/1GuoR
Youtube
Picha: Reuters/L. Nicholson

[No title]