1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafuasi wa Trump wahama Twitter wajiunga na majukwaa mbadala

Yusra Buwayhid
20 Januari 2021

Wafuasi wengi wa Donald Trump wameihama mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter tangu Trump alipofungiwa akaunti zake, kwa madai ya kuwachochea baadhi yao hata wakavamia majengo ya bunge la nchi hiyo. Je, kampuni zinazomiliki majukwaa hayo zina haki ya kuwanyima watu uhuru wa kujieleza?

https://p.dw.com/p/3oAUh