1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahamiaji 57 wafa maji Tunisia

Sudi Mnette
4 Juni 2018

Wahamiaji 57 wengi wao kutoka taifa la Tunisia wafa maji katika bahari ya Mediterrania kwa upande wa pwani ya Tunisia.

https://p.dw.com/p/2yuxb
Tunesien Fischerboote auf den Kerkenna-Inseln
Picha: Imago/H. Sobik