1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahudumu wa tiba maalumu kwa wazee

Anuary Mkama5 Novemba 2018

Kwa mujibu wa sera ya wazee ya mwaka 2003, wazee wote kuanzia umri wa miaka 60 na kuendelea wanatakiwa kupata huduma ya afya bila malipo katika hospitali zote za serikali, vituo vya afya na zahanati. Licha ya sera hiyo lakini, bado zipo changamoto kadhaa. Katika Makala ya afya yako Anuary Mkama anaangazia umuhimu wa kuwa na wahudumu wa afya maalumu wa tiba ya wazee.

https://p.dw.com/p/37fep