1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakulima na wafugaji wapigana Kenya

3 Februari 2017

Katika eneo la Laikipia kumeshuhudiwa makabiliano ya umwagaji damu kati ya wakulima na wamiliki wa mashamba, wakati kukiwa na madai kwamba wafugaji wamekuwa wakiingiza mifugo yao kwenye mashamba.

https://p.dw.com/p/2Wwbl
Wafugaji wa kuhama ham
Picha: DW/J. Jeffrey

J3 03.02.2017 Kenya Interview Struggle for land - MP3-Stereo

Hata hivyo kumekuwepo na madai mengine kwamba wanasiasa wamekuwa wakitumoa fursa hiyo kwa ajili ya kujiimarisha kisiasa wakati ambapo nchi hiyo inaelekea kwenye uchaguzi mkuu. DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa aliyeko nchini Kenya, Baron Shitemi, anayezungumzia hali hiyo.