1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanafunzi wenye mimba wakamatwa Tanzania

11 Januari 2018

Watetezi wa haki za binadamu wameikosoa serikali ya Tanzania kwa kuwakamata wanafunzi waliopata mimba, na kusema badala yake serikali ilitakiwa kuwakamata wanaume ambao wamewapa mimba wasichana hao.

https://p.dw.com/p/2qh1m
Mama mwenye mimba
Picha: picture-alliance/AP Photo/F. Dana

MMT J2 11.01.2018 Tansania 5 schoolgirls arrested for being pregnant - MP3-Stereo

Wasichana hao watano wenye umri wa kati ya miaka 16 hadi19 walikamatwa na polisi katika wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara mwishoni wa wiki iliyopita na baadaye kuachiwa kwa dhamana. Lilian Mtono amezungumza na mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binaadamu nchini Tanzania, Hellen Kijo Bisimba.