1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanasalamu mpo?

Lilian Charles Mtono15 Februari 2019

Msikilizaji na pia shabiki wa kipindi cha Salamu hujambo popote ulipo. Ni wakati mwingine wa kusalimiana na kujuliana hali. Nahodha wako kwa siku ya leo kuliongoza dau la Salamu si mwengine bali ni Lilian Mtono. Basi usibanduke hadi tamati.

https://p.dw.com/p/3DQWV