1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake 100 wenye ushawishi Tanzania

Angela Mdungu
3 Mei 2019

Angela Mdungu katika makala hii ya wanawake amezungumza na Bi Caroline Juliette Moses Ndosi mwanamama kutoka nchini Tanzania ambaye mwaka uliopita aliendesha Kampeni za kuwatambua wanawake 100 wenye ushawishi nchini humo.

https://p.dw.com/p/3Hs6f