1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake 6 wateuliwa katika baraza la mawaziri nchini Kenya

26 Aprili 2013

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta amekwisha anza kazi ya kuteua baraza lake la mawaziri kwa ajili ya kuunda serikali yake baada ya kuapishwa rasmi baada ya uchaguzi wa Machi 4.

https://p.dw.com/p/18Niu
Charity Ngilu ni mmojawapo kati ya wanawake waliyochaguliwa katika baraza jipya
Charity Ngilu ni mmojawapo kati ya wanawake waliyochaguliwa katika baraza jipyaPicha: DW/J.Shimanulya

Mpaka sasa ametaja majina ya mawaziri 18 miongoni mwa hao wanawake 6 ikiwa ni hatua pekee ya kihistoria katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Kutoka mjini Mombasa Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi na mwanasheria Yusuf Abubakar na kwanza alimuuliza analitazamaje baraza hilo katika hatua hii. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Mohammed Khelef