1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake katika bunge la Ujerumani

Elizabeth Shoo6 Oktoba 2017

Mwaka uliopita, jarida mashuhuri la uchumi la Marekani, Forbes, lilichapisha orodha ya wanawake wenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani na aliyeshikilia nafasi ya kwanza alikuwa Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel. Merkel ataiongoza tena nchi yake katika muhula wa nne. Nini nafasi ya wanawake katika bunge jipya la Ujerumani lililochaguliwa Septemba mwaka huu?

https://p.dw.com/p/2lNU9