1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wafanya sala kwa ajili ya Sudan

Josephat Charo
14 Juni 2019

Kundi la akina mama wa dini na madhehebu mbali mbali chini ya mwavuli wa Mtandao wa Wanawake wa Afrika wa imani mbali mbali , African Women of Faith Network huko Kenya limeshiriki tukio la maombi maalum ya kuonyesha kusimama pamoja na wanawake wanaopitia hali ngumu kutokana na ghasia nchini Sudan.

https://p.dw.com/p/3KTvo