1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wapatanishi wa kimataifa wataka kuleta suluhisho Zanzibar

Elizabeth Shoo30 Oktoba 2015

Wakati shinikizo la ndani na nje likizidi kuitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kurejea kwenye utangazaji wa matokeo ya uchaguzi, jitihada za kuutatuwa mkwamo wa kisiasa unaoiandama Zanzibar zimeanza rasmi.

https://p.dw.com/p/1GxJb
Uchaguzi Tanzania
Picha: Reuters/E. Herman

[No title]